Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 4 KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI SANA HASA HII NDIO IMEJITENGA YENYEWE PEMBENI KABISA
BEI NI 400,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
0652472014
0652472014