Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road/ UBUNGO EXTERNAL, Usafiri 24Hours Bajaji, 500
KODI 280,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Jiko Kubwa Zuri
✅️Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Yanaflow Ndani 24HRS
✅️Reserve Tank
✅️Fenced
✅️Parking Space Available 🚗
✅️Good Environment 👍
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp