Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300,000 x6. 0781 418 437 pg โฅ๏ธ 0679 956 863 WSP
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APPOINTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#HAKUNA MASTER
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
โโ APARTMENT HII NAIFAULISHA โโ
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
๐ค APARTMENT HII NAIFAULISHA NDUGU MTEJA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437 โฅ๏ธ