Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAKUA WAZI TAR 23/03/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
.
KODI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
LOCATION KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 700 NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA
.
SIFA ZA NYUMBA
#############
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DINNING JIKO ZURI LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
.
KINA APARTMENT INAPANGISHWA KWA KILA KITU MPKA KAMBA ZA NGUO
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI
.
PANA MLINZI GETIN NA MTU WA USAFI WA MAZINGIRA YA NJE NA MALIPO YAO YAPO UMO UMO KWENYE 450K
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT
0742260844
0657384670
0788396797