Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA STOP OVER
Umbali wa Kilomita 2 kutoka Main Road na Barabara ni NZURI MPAKA GETINI
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI na Kimoja Wapo ni Master Bedroom
โข Jiko Zuri Kubwa
โข Public Toilet
โข Heater za Maji
Apartment Zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐_๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- na Malipo ni Miezi x5x6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo.
SIMU 0659336751 WSP 0786085637