Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA KOROGWE DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 10/04/2025 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI OPERN KITCHEN
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#HITER MAJI MOTO NA BARIDI
#FULL ICE
#ELECTRICK FANCE
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453