Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA ZIKO MBILI TU NDANI YA FENCE INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INAVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
⚡️#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
🤝#MAJI DAWASA
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE PACKING SPACE KUBWA
💰BEI NI 300,000/= X 6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710