Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT450,000X6 IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
APARTMENT HII BADO INA MPANGAJI NDANI RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ITAKUA WAZI TAREHE 20/3/2025 , INAYOPANGISHWA NI APARTMENT YA CHINI
Ina vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet za nje
Rezev Simtank
Tails gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji yanaflow chooni jikoni Dawasa
Full paving block ,Good Environment , ulinzi na usafi kuzunguka Mazingira ( Mwenye nyumba ,Ndani ya fence ,Parking space kubwa.
Kodi ni laki 450,000
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000
SIMU 0659336751 WSP 0786085637