Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







LOCATION: KIMARA MWISHO
.
KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
USAFIRI BAJAJ 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
.
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR MAZUR
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
SERVICHAJ ELFU 15
.
#CONTACT
0742260844
0657384670