Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA MWISHO DAR ES SALAAM dk10 - 12 kwa Mguu
NYUMBA INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA NI
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko kubwa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.