Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







350,000 x3 0679 956 863 WSP 0781 418 437
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
Vyumba 2 vya kulala
Hakuna Master Hapa❌❌
Seble Kubwa
Jiko kubwa(openi kitchen)
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Camera
Mlinzi kampuni
Ndani ya fence zipo
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000\/=
Kodi 350,000\/=×3
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
NAFAULISHA HAPA KAZI HIYO VIJANA
CONTACT US:- 0679 956 863
0781 418 437
0759151524