Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI KUBWA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MADILISHA SHATA
#ZIPO KWENYE FENSI NZURI
#PARKING KUBWA
‼️MAJI NI NJE NDUGU MTEJA HAYATOKI NDANI
BEI NI 200,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
DAKIKA 4 KWA MIGUU UPO KWENYE NYUMBA
🌟 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲
#0785889413