Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
KM 1.5 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BODA BUKU
BEI NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
KILA CHUMBA KINA KABATI
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA SAFI LA NJE
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
##0655256419