Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
AGENT FEE 1 MONTH
SURVEY CHARGE 20K
CONTACT
CALL/WHATSAPP .O677370515