Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(450,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗦𝗧𝗢𝗣 𝗢𝗩𝗘𝗥
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= × 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 450,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
NOTE:- ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300