Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐๏ธAPARTMENT NZURI SANA, ZA KISASA MPYA KABISA
INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 5 KUTOKA LAMI
HAPA ZIPO 2, UPANDE WA JUU,
NA UPANDE WA CHINI,,
NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU, UMEME NA MAJI SAFI DAWASA..
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA, VYOTE NI MASTER BEDROOMS
#SEBURE SAFI
#JIKO SAFI
KODI 300,000/=ร6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI LAKI 3
SERVICE CHARGE 15,000/=
CONTACT
#0676_218580(WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA๐น๐ฟ