Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 300,000X6
UMBALI KM 1.2
BODA 1000
AU BAJAJI 700
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VIKUBWA SANA
HAKUNA MASTER ILA PUBLIC TOILET YA NDANI
JIKO KUBWA SANA
MAFENI VYUMBANI NA SEBULENI
KWENYE FENS MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TU
NA KILA APARTMENT IINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
PACKING IPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347