Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA YA JUU GOROFANI INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PUBLIC TOILET 
#AIR-CONDITION
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 600,000/= X 6 
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU NDUGU MTEJA:: 0672 673363




















