Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 ร 3,4,5,6) KIMARA MWISHO PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI
APARTMENT FOR RENT KIMARA MWISHO AU KIMARA TEMBONI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
CHOO CHA FAMILIA
KODI NI TZS 250,000 ร 3,4,5,6
NYUMBA IPO KIMARA MWISHO AU KIMARA TEMBONI UMBALI WA KILOMETA 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 700๐
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300