Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🚨🔥#APARTMENT ZIPO 3 INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
🕑Umbali kutoka standi ya mwendo kasi km 1.8 usafili bajaji 500 ukishuka dakika 3 upo ndani boda boda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili vya kulala kimoja master
🌲Sebule
🌲Jiko
🌲Public Toilet Ya ndani
🌲Umeme Luku Yake
🌲Maji meter yake na yanaflow ndani
🌲Fensi & Parking ipo Kubwa
👉 Mazingira mazuri sana Usalama wa kutosha hakuna uswahili hapa
🔷Kodi Tsh 300, 000/= miezi 6
🔷Malipo ya Dalali Tsh 300, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
O627977383