Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA [ Zipo 2 Kwenye Fence ]
KODI 500,000 × 6
LOCATION: KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
DISTANCE: KM 1 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNATEMBEA DK 2 UMEFIKA
✅️SEBULE KUBWA SANA
✅️DINING ROOM
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
✅️CHUMBA KIMOJA MASTER
✅️JIKO KUBWA la KISASA
✅️PUBLIC TOILET NDANI 🚻
✅️MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
✅️RESERVE TANKS
✅️UMEME LUKU YAKO
✅️NDANI YA FENCE
✅️PARKING SPACE KUBWA
✅️PAVING BLOCK ZINAWEKWA 🚫
✅️GOOD ENVIRONMENT 👍
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp