Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent โจ๏ธ
Ya Chini Ndiyo Inapangishwa
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 3 Kutoka Kituo Cha Mwendokasi ๐ถ๐ถ
KODI 300,000 ร 6
๐Sebule Kubwa
๐Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
๐Chumba Kimoja Master
๐Jiko Kubwa Zuri la Nje
๐Public Toilet Ya Nje ๐ป
๐Umeme Luku Yako
๐Maji Meter Yako Na Yanaflow Ndani 24HRS
๐Reserve TANK
๐Fenced & Parking Kubwa Sana ๐
๐Good Environment ๐
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp