Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
โผ๏ธ APARTMENT HII HAINA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI UNAPAKI KWENYE NYUMBA
BEI NI 250,000/= X 6
==========
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
ITAKUWA WAZI TAREHE 1/02 MWENZI HUU KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUEPO
======
CONT
0683234124
0718367179
__