Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#BEI NI 280K BEI NI 280K
APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA
#BEI NI 280,000/= X 6
🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
HAKUNA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET NZURI
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
ZIPO APARTMENT 2 KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
PARKING KUBWA
BEI NI 280,000/= X 6
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















