Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA STOP OVER UMBALI WA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD.
HII NI APARTMENT ZIPO TATU KWENYE COMPAUND MOJA NA MOJA NDIO INAPANGISHWA ITAKUWA WAZI TAREHE 11 / 4 / 2025 RUKSA KUONA NA KULIPIA.
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule
Jiko
Rezev Simtank
Choo cha wageni nje
Tails ####gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni.
Ipo ndani ya fensi Peving block Parking space ipo.
-------
Kodi ni laki 300,000 /=
Kwa mwezi
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
CONTACT
0742260844
0657384670