Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


300,000 KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖✔️✔️
APARTMENT HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA UMEME NA MAJI YENYEWE KWENYE. FENCE ZIPO 4 INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
=
Vyumba viwili 2 vya kulala kimoja master bedroom sebule kubwa jiko kubwa,
=
Kodi 300,000 Kwa mwezi ×6
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali dakika 15 Tu kutoka Morogoro Road
Inapigwalangi nje itawekwa
Peving block
Kali sana
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
===
CONTACT US:-
0716223412
0683597453