Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA ZIPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
----------------------------
HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI ZINAPANGISHWA ZITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAREHE 01 /01/2025
RUKSA KUONA NA KULIPIA MALIPO MIEZI SITA SI CHINI YA HAPO.
NB =MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO TU .
---------------------
APARTMENT NI MBILI KAMA IFUATAVYO =
CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
KODI = 300,000/=
2 ] VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA
MASTER
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
KODI NI LAKI 450,000/=KWA MWEZI.
---------------------
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA MITA YAKO ,FULL TAILS, GYPSUM, REZEV SIMTANK, SLIDE WINDOWS, PEVING BLOCK.S, ELECTRIC SECURITY, PARKING SPACE IPO.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000/=
Piga cm 0677370515