Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 03/02/2025 KUONA MALIPO RUKSA 
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI 
#PUBLICK TOILET 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 -6 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI 
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 (MWAKA) HII NYUMBA INAFAULISHWA MTEJA KALIPA MWAKA
0715949085
0782838336




















