Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X4)KIMARA MWISHO DK 8-12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
MESHAPIGWA RANGI NI YA KULIPIA NA KUHAMIA TU
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
.
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
.
UMBALI KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI 700 BODA ELFU MOJA TU MPKA GETIN
.
SIFA ZA NYUMBA
==============
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE
.
KUPELEKWA SITE ELF 15
CONTACT
0716223412
0683597453