Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(450,000X6) KIMARA BARUTI
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 7 TOKA MAIN ROAD
BEI NI 450Kx6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 VIWILI KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
ZIPO TATU COMPOUND MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15.
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
0716223412
0618976024