Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINAPANGISHWA KIMARA SUKA DK 5 KWA MIGUUU...
KWA WALE WAVIVU WA KUTEMBEAAAAA...
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble Kubwa
Jiko makabati
Public toilet
Maji Ndani
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence zipo 3
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
*INAFAULISHWA HAPA NDUGU wateja
Simu
0679997610
0658884015
Msigwa