Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
Location: Kimara Korogwe Kilungule
Distance: KM 2 Kutoka Mwendokasi, Bajaji 500 Tu, Ukishuka Unatembea dakika 15 Mpaka Nyumba Au Boda Boda 1000 tu
#SIFAZAKE
๐นVyumba viwili vya kulala Kimoja Master
๐นSebule Kubwa
๐นHakuna Jiko
๐นUmeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
๐นFenced Car Parking kubwa
๐ถKodi Tsh 250, 000/=ร6 miezi kuazia 3 na kuendelea
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp