Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI
KODI 250,000X6
UMBALI KMB 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
SIFA ZAKE
#####'##
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER
NA JIKO NZURI LA KISASA LINA MAKABATI
TOILET PUBLIC YA NDANI
NDANI YA FENC ZIPO NNE KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI NA MOJA NDIO IKO WAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
CONTAC