Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI YA KIBABE INAPANGISHWA MBENZI KWA MSUGURI๐ฅ๐ฅ
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
SEHEMU YA DINNING
JIKO SAFI LA KISASA
PUBLICK YA NDANI
UMEME UJITEGEMEA NA MAJI
BEI NI 400,000/=ร6๐ฅ๐ฅ๐๐ฟ
KUTOKA MOROGORO ROOD KILOMETA 1 BARABARA RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA GALI MPAKA GETINI USAFILI UPO BAJAJI 700 BODA 1000
KUJAKUONA NYUMBA NI 20,000/=
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747