Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 350,000 x6.
APARTMENT NZURI SANA. ZINAPANGISHWA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZA NYUMBA
INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE
JIKO
CHOO CHA PUBLIC
PARKING SPACE KUBWA SANA
๐ฃLOCATION:KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 8
BODABODA 1000 MPKA GETINI
๐ฐBEI:LAKI 350K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
TUPIGIE NAMBA 0659336751 WSP 0786085637