Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
500,000 KIMARA TEMBONI
APARTMENT HOUSE FOR RENT/ NYUMBA INAYOJITEGEMEA UMEME NA MAJI YENYEWE KWENYE. FENCE ZIPO 2 INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
=
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom sebule kubwa jiko kubwa,
=
Kodi ni Tzs 500,000/=×6
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea kila kitu, Umbali dakika 10 Tu kutoka Morogoro Road
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
Contact
0652472014