Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT YA #KIFAMILIA INAPANGISHWA #GOBA_KINZUDI AU UNAWEZA PITIA #SALASALA AU #MBEZI_BEACH_AFRICANA
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko open kitchen
Choo cha familia
Parking
Hapa mpo wapangaji 2 tu, ila hii ndio ipo wazii
Maji na Umeme mita yako
Ac chumbani
Gardens
Mazingira matamu sanaa
__
Kodi 800,000/= ร 6
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
________________
PIGA SIMUUUUUU