Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYA MPYA MPYA MPYA MPYA MPYA KABISA
APARTMENT KIMARA BUCHA INAPANGISHWA
Location :- KIMARA BUCHA DK 2 TOKA MAIN ROAD.
Kodi 500,000/= ร6
SEBULE KUBWA, VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTA CHENYE CHOO CHA KUKAA, CHOO CHA PUPLIC NDANI NA JIKO LITAWEKWA MAKABATI..
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASCO YANATOKA NDAN.
NDANI Y FENC
ZIPO APARTMENT 4 NDANI Y COMPOUND 1
NB: ITAKUWA TAYARI KUHAMIA TAR: 1.11.2025
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.