Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







400,000x10 KIMARA SUKA DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA
Vyumba viwili Vyote master
Sebule kubwa sana
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon. Full makabati
Bei:400,000 Kwa mwezi × 10
Umbali dakika 15 Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking IPO
Wapanaji wa wilitu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Itakuwa wazi kesho
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453