Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜 DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI
VYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
MAJI YANAFLOW NDANI
LUKU YAKO
NB: HII NYUMBA INALIPWA MIEZI SITA FIXED..NA HELA YA TAHADHARI LAKI 2
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
KODI 350,000 × 6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0618976024
0716223412