Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fd9d4418b-7ab6-4fec-b58d-5c83c2a4a987.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fd9d4418b-7ab6-4fec-b58d-5c83c2a4a987.jpg&w=256&q=75)
NEW NEW APARTMENT FOR RENT ###500 /450 PER MONTH.
---------------------
APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA ZIMEBAKI APARTMENT 5 TU NDUGU MTEJA.
---------
ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI KWENDA MBEZI UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI NI TSH 700 UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 3 TU , KWA BODABODA NI ELFU MOJA MPAKA KWENYE NYUMBA KUTOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS TERMINAL.
------
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOMS
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA LA KISASA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
MITA INAJITEGEMEA
REZEV SIMTANK
FULL PAVING
NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
----
HAPA KUNA APARTMENT MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO ๐
A ) GOROFANI KODI NI LAKI 500,000 /=
KWA MWEZI
B ) ZA CHINI ZOTE KODI NI LAKI 450,000 /=
KWA MWEZI
----
Nb= HII KODI IMEJUMRISHWA PAMOJA NA HELA YA MAJI TAKA, USAFI NA ULINZI.
KODI NI MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
------------
KARIBUNI WATEJA WETU ( KODI NI MIEZI SITA TU CHINI YA HAPO HAKUNA )
0710614924
0688653940