Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X4),KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita 1.3 Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 500 Boda 1000 Ukishuka Kwenye Bajaj Unatembea Dakika 2 Unaingia Ndani
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa Zuri
• Choo kizuri cha Familia
Apartment zipo 3 tu ndani ya Fensi ya Waya Nzuri Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 350,000\/- Malipo Miezi 4
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu
CONTACT US:-
0716223412
0683597453