Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI MSELELEKO KABISA NI 250,000/= X 6 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA SANA 
#JIKO KUBWA SANA 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6 
๐ก๐ก APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
 KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1 
What saapp number 0689-547258



















