Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(350,000 × 4,5,6) KIMARA STOP OVER AU KIMARA SUKA KOTE UNAFIKA
APARTMENT KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER AU KIMARA SUKA KOTE UNAFIKA
LOCATION: KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITIA KIMARA SUKA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTE
SEBULE KUBWA NA DINING
JIKO LENYE MAKABATI
CHOO CHA WAGENI CHA NDANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI KM 1 AU BODA 1000
IP0 NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
FULL PAVING BLOCKS
KODI 350,000 × 4/5/6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA
NYUMBA HII IPO WAZI NI YA KUHAMIA
PIGA CM USTUME SMS UTACHELEWA
======
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300