Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA INAPANGISHWA BEI NI 170000/= X 3 4 INAPOKELEWA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA AINA MASTER MAJI YAPO NJE UMEME INAJITEGEMEA
BEI 170000/= X 3 4 lAKI MOJA NA SABINI KODI MIEZI 3 4
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETERS 1 BODA ELFU MOJA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Itakuwa wazi jumatatu kuona kulipia RUKSA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















