Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE
#๐ฟ๐๐จ๐ฉ๐๐ฃ๐๐: Kutembea kwa Mguu Dakika 7 Kutoka Main Road.
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI Vya Kulala na Kimoja Wapo ni Master
โข Jiko Zuri Kubwa
โข Public Toilet
โข Stoo
Apartment Zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo.
Kiila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 600,000/- Malipo Miezi 4 Unapokelewa
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp