Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 APARTMENT NZURI YA KISASA
IPO SEHEMU NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI 350,000 × 6
Location: KIMARA MWISHO
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala, Tax
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI YA NGUO NDANI
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#STORE KUBWA
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN NZURI
📌ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENCE MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
📌 NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000 /=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp