Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฏ๐ด๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala vyote ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na choo cha public ndani. Ipo ndani ya fensi parking space kubwa umeme na maji inajitegemea.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: KIMARA MWISHO - Upande wa kushoto kama unatoka Ubungo. Umbali ni km 2 kutoka morogoro road.
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki tatu na elfu themanini tu (380,000/- Tshs) ร Miezi 6 + mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 au 0782 375277 (Namba zote zinapatikana WhatsApp)