Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA BARUTI
Distance: Dakika 10 Kutoka Morogoro Road 🚶🚶
Price: 500,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
✅️Chumba Kimoja Master
✅️Kitchen With Cabinet
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✅️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Fenced
✅️Parking IPO KUBWA 🚗
✅️Good Environment 👍
📍INAYOPANGISHWA NI YA JUU
📍BARABARA NI NZURI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI 🚗
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp