Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA KODI TSH 250,000X5X6
LOCATION:
KIMARA SUKA
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.3
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
PUBLIC TOILET NDANI KUBWA\nIPO NDANI YA FENCE
PACKING SPACE KUBWA SANA
UWANJANI PAVING BLOCKS
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 250000X5X6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA